KISWAHILI: Wiki 1
Ukabila, Upendeleo wa Kiukoo na Siasa Hapo kale, arusi kubwa ilifanyika angani na ndege wa aina mbali mbali wakaalikwa. Kobe alialikwa pia. Kabla ya kuanza safari ya kwenda angani, waliafikiana kuhusu kanuni za kuzingatiwa safarini na kwenye sherehe ya arusi. La muhimu zaidi kwenye makubaliano yao lilikuwa ni kugawana sawa kila kitu safarini na kwenye arusi. Walimteua Kobe kuwa[Read More…]